MorningStar Radio

评分: 0 (7)
0

http://www.morningstaradio.or.tz
比特率: 128
声音格式: MP3
在线合成器:
Winamp

MorningStar Radio

类型: 福音音乐 - Gospel
Morning Star Radio Maoni yanayotolewa kwenye ukurasa huu na wanaofatilia hayahusiani na msimamo wa Morning Star RadioNjozi za kuanzishwa kwa Radio hii, zilianza mnamo miaka ya tisini, ambapo mwaka 2000 viongozi wa makanisa ya Dar es salaam walikutana na kuweka mkakati madhubut...i ya kuanzisha radio,kwa wakati huo ikijulikana kama TAWR (Tanzania Adventist World Radio). Mwaka 2001, uchunguzi yakinifu wa kuanzishwa kwa Kituo hiki ulianza chini ya kitengo cha mawasiliano cha Makao makuu ya Kanisa Tanzania kijulikanacho kama TAMC (Tanzania Adventist Media Center). Baada ya mikakati madhubuti kukamilika, ujenzi wa kituo cha radio ulianza rasmi mnamo mwaka 2002, katika eneo la Mikocheni B, jijini Dar es salaam, ujenzi ambao uliendelea na kukamilika kwa sehemu kubwa mnamo mwaka 2003. Mnamo tarehe moja mwezi wa kumi mwaka 2003, kituo kilirusha matangazo yake kwa mara ya kwanza kama majaribio, kwa kutumia mtambo wa kurushia matangazo wenye uwezo wa watt 500, na tangu hapo safari ya matangazo kusikika hewani iliendelea! Mwezi wa kumi na moja mwaka wa 2003, kituo kilifunguliwa rasmi na Mgeni aliyehudhuria shughuli hiyo, Mchungaji Jan Paulsen, akija kama Rais wa kanisa la Waadventista wasabato Duniani, akitoea Nchini Marekani ambako ndiko makao makuu ya Kanisa Duniani, yalipo. Majuma mawili baada ya kufunguliwa rasmi kwa kituo, Mtambo wa kurushia matangazo uliokuwa umefungwa mikocheni B mahali zilipo studio, ulishindwa kufanya kazi kutokana na hitilafu iliyosababishwa na umeme, tatizo lililojitokeza baada ya mvua kali kunyesha. Jitihada za kujaribu kuirejesha katika hali ya kuendelea kufanya kazi zilishindikana, jambo lililopelekea muingiliano na vyombo vingine vya habari, na kituo kufungwa kwa muda na tume ya mawasilianona, ili kutoa nafasi ya kufanyika kwa marekebisho. Kituo kilirejea tena katika hali yake na kuendelea na matangazo baada ya miaka miwili baadae. Mwaka 2005 mwezi wa tano,vifaa vipya vya kurushia matangazo viliagizwa ili kurejesha matangazo tena. Uagizaji huo ulichukua muda wa miezi mitatu, na mwezi wa nane vifaa viliwasili na ufungaji ukaanza mara moja, wakati huu mtambo ukiwa umehamishiwa eneo la kisarawe, mkoa wa Pwani. Baada ya ufungaji mtambo kukamilika, mnamo mwezi wa nane mwaka 2005, urushaji wa matangazo ya majaribio ulianza mara moja, ambapo majaribio hayo yalichukua takribani mwezi mmoja, hadi mnamo mwezi wa tisa! Ilipofika tarehe 26, mwezi wa tano mwaka 2006, saa 11:00 jioni, kituo kilirusha matangazo moja kwa moja kwa mara ya kwanza, baada ya matangazo ya majaribio kukamilika! Tangu hapo, Morning Star Radio imeendelea kurusha matangazo yake hadi hivi sasa, ambapo watu mbali mbali wamekuwa wakibarikiwa sana na matangazo haya, na kwa hakika kituo hiki kimekuwa ni mbaraka sana kwa ma elfu ya wakaazi wa Tanzania na dunia kwa ujumla ambapo matangazo ya Redio hii yanasikika!
http://www.morningstaradio.or.tz
 现在住:
 
电台最近播放了什么:
William Mcdowell - You Are Here
Matthew West - The Motions
Fiona Mukasa - Trust In The Lord
Third Day - Children Of God
Laura Story - Faithful God
James Huey - I Will Praise Him
William Mcdowell - In Your Presence (Feat. Israel Houghton)
Laura Story - Prodigal Song
Matt Redman - We Are The Free
Sila Very - Pred Toboy Stou
Sila Very - S Toboy
Brain Doerksen - Light The Fire Again
Поезд На Небо
Philip Renner - Ochist' Menya
Calling All Nations - Don't You Know
Chris August - Center Of It
Jars Of Clay - Liguid
Don Moen - God Will Make A Way (Narration And Underscore)
Chris Tomlin - Chosen Generation
Women Of Faith - You Are My All In All
评论:
  • 你的名字:
    captcha

电台清单
您的电台播放列表为空 (注册)
YouTube
RSS Feed News Categories My list of RSS feeds Change site language and RSS feeds RSS: 阅读速度 0
RSS: 新闻
MorningStar Radio
Top 10: USA Top 10: USA

类型: Gospel
Video Streaming
  • Play   Lagu Indonesia Terbaik - Terpopuler - Terhits Sepanjang Masa #MusicStream #LiveMusic #DirumahAja
  • Play   Best Radio 1 • Live Radio Pop Music 2020' Best English Songs Of All Time - New Popular Songs 2020
  • Play   Fenomen Pop Live Radio • Pop Music 2020 - Best English Songs Of All Time - New Popular Songs 2020
  • Play   lofi hip hop radio - beats to relax/study to
  • Play   Dance Music Live Radio • Best English Songs 2020 - Top Hits 2020 New Pop Songs Remix
  • Play   Tropical House Radio • 24/7 Live Radio | Best Relax House, Chillout, Study, Running, Happy Music
  • Play   The Good Life Radio • 24/7 Live Radio | Best Relax House, Chillout, Study, Running, Gym, Happy Music
  • Play   New Popular Songs 2020 - Top 40 Songs This Week - Best Hits Music Playlist 2020
  • Play   Deep Legacy. Radio • 24/7 Music Live Stream | Deep & Tropical House, Chill Out, Dance Music, EDM
  • Play   Sunday Coffee: Relaxing Jazz Radio - Smooth JAZZ & Soft Bossa Nova for Calm, Work, Study at Home